Header Ads

Header ADS

Lengai Ole Sabaya Akiri Kumiliki Silaha Mahakamani



MKUU wa zamani wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya(34), amekiri mahakamani kwamba alikuwa akimiliki silaha ya moto ya Glock 17.

Ole Sabaya, alithibitisha mahakamani huko, kumiliki silaha hiyo, wakati akijitetea na kutoa ushahi wake, mbele ya Hakimu Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, Odira Amworo.




No comments

Powered by Blogger.