Kocha wa Timu ya Taifa, Kim Poulsen ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Agosti 24, 2021 kujiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya DR Congo na Madagascar.
No comments