MASHA LOVE Atoboa Siri "Zuchu Bado ni Bikira"
Chura Super Star wa hapa Tanzania ( mashalovietz) katika mahojiano na online media moja matata amefunguka namna boss wake officialzuchu anavomlipa na kusisitiza Zuchu bado mdogo sana na ni Bikra.
"Hivo ninapiga hela nyingi sana Boss wangu hana shida hata tukimpigia sasa hivi akuambie hela anayonilipa...Mimi nachukua Million 100 kama hauamini naweza mpigia simu....unajua Zuchu ni Bikra Yah Zuchu Bado ni mtoto mdogo navojua anamiaka 15 hiyo 27 kawadanganya"-Ameongea Mashalove
No comments