Mkazi wa mjini Unguja, Zanzibar anasema kuwa ni mapema mno kutoa lawama dhidi ya Rais Hussein Mwinyi baada ya kukamilisha siku 100 za uongozi wake na anavyoona ni kuwa anastahili pongezi.
No comments