Header Ads

Header ADS

Dulla Makabila Afunguka Makubwa Kuhusu Mwanamke Wake

 


Ameandika Dulla Makabila 👉Kwenye Maisha Yangu Hakuna Mwanamke Nitakaempenda Kama Wewe Na Ata ikitokea Nikiachana Na wewe Nitaendelea Na Mahusiano Na Sio Mapenzi Tena Mapenzi Yameanzia Kwako Na Yataishia Kwako Maana Kupenda Sio Kitu Kupendwa Ni Kitu Ila Kupendwa Na Mtu Unaempenda Ndo Kila Kitu Nakupenda Sana Mke Wangu ❤ #MoyowanguUnaAmani🙏

No comments

Powered by Blogger.