Header Ads

Header ADS

Yanga kucheza na timu kubwa kilele cha wiki ya wananchi



 VIGOGO wa soka nchini, Yanga SC wamesema watacheza na moja ya klabu kubwa barani Afrika kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Agosti 30, mwaka huu Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam. 




No comments

Powered by Blogger.