Header Ads

Header ADS

Watu Watinga Nyumbani Kwa ilionea Mpya Wakitaka Pesa “Ni Baba,Tunataka Riziki”



Baada ya serikali kumtangaza bilionea Saniniu Laizer kupata madini yenye thamani ya shilingi bilion 7.8 baadhi ya watu wameanza kufika nyumbani kwake wakitaka msaada huku wengine wakisema ni ndugu yake

“Nipo nyumbani nimesikia brother wangu kapata so nimeamua kuja anipe chochote,muomba Mungu hachoki nimemfuata anipe chochote cha watoto”-Kwinase Laizer


No comments

Powered by Blogger.