Menina Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Kuhusu ndoa Kuvunjika ‘Ndoa ni Upendo na Amani Lakini Kila Kitu Kina Mipaka yake’ (Video)
Msanii wa Muziki, Menina amefunguka kuzungumzia sakata la ndoa zake kuvunjika huku akiwashauri watu ambao wanaingia kwenye maisha ya ndoa kuangalia mioyo yao inasemaje.
“Ndoa ni furaha, ndoa ni amani ndoa ni uvumilivu lakini kila kitu kina mipaka yake, na kila kitu kina mwanzo mwisho wake kwahiyo mtu atakapoamua kuingia kwenye ndoa ni maamuzi yake na akiamua kutoka ni maamuzi yake” alisema Menina VIDEO:
No comments