Header Ads

Header ADS

Wakazi "Nimeingia Kwenye Siasa na Kujiunga na Chama Hiki Lakini Sina Nia ya Kuwania Nafasi Yoyote ya Uongozi"


Rapper Wakazi amezungumza na Dozen Selection nakusema kuwa, yeye kujiunga na chama cha siasa (ACT Wazalendo) haina maana kuwa anampango wa kutangaza nia ya kuwaniwa nafasi yoyote ya uongozi kupitia chama hicho.

Licha ya kuwepo kwa vyama vingi vya siasa Nchini lakini @wakazimusic amevutiwa na ACT Wazalendo kutokana na Sera za chama, ambapo ana amini kuwa muelekeo wowote mzuri wa Taifa hubebwa na sera nzuri. Aidha amesisitiza kuwa kwa vijana ni vizuri wakawa wadadisi ili kushiriki kikamilifu kwenye ujenzi wa Taifa.

No comments

Powered by Blogger.