Nimegundua Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namfikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi
Anasema Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namfikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi
Wakuu nimekuwa na Mchumba wangu takribani miaka miwili sasa, Nikiwa katika hatua ya kukataa shauri nimuoe kabisa nimweke ndani nikapenyezewa kaumbea kutoka kwa shoga yake kuwa huyu mchumba wangu kamwambia kuwa hanipendi nilivyo ila sababu ya kuwa na mimi muda wote huo ni kwasababu namfikisha kileleni ipasavyo kitu ambacho amekikosa kwa wanaume wote ambao amewahi kuwa na mahusiano nao... Sasa Je Kweli Mwanamke wa Hivyo Napaswa Kumuoa ?
Naombeni Ushauri
No comments