Header Ads

Header ADS

Novak Djokovic na Mkewe Wakutwa na Virusi vya Corona


Mcheza tenisi namba moja duniani, Novak Djokovic amekutwa na maambukizi ya Virusi vya Corona baada ya kufanyiwa vipimo.

Djokovic pamoja na wenzake wawili wamekutwa na virusi hivyo ambapo imeelezwa kuwa ni kutokana na kutotii agizo la kujitenga na kuendelea na mashindano ya Adria Tour

Nyota huyo ambaye alikuwa na ratiba ya kushuka uwanjani kucheza siku ya Jumapili amethibitisha Jumanne hii kuwa yeye na mke wake wameambukizwa Covid-19 wakati wakirudi nyumbani kwao Serbia, huku majibu yakionyesha watoto wao kutoambukizwa.
while his children’s results were negative.

No comments

Powered by Blogger.