List ya Wasanii Wanaogombea Ubunge Uchaguzi 2020
1.HARMONIZE
Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM
2.SHILOLE
Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM
3.STEVE NYERERE
Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM
4.KINGWENDU
Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa Tiketi Ya CUF
No comments