Huu ni Muonekano wa Ndani wa Handaki Moja Kati ya Manne Yaliyochimbwa Chini ya Milima Itakapopita Treni ya SGR
Huu ni Muonekano wa ndani wa Handaki moja kati ya manne yaliyochimbwa chini ya milima katika wilaya ya Kilosa ili kuwezesha treni ya kisasa (SGR) kupita, ikiwa ni kipande cha kwanza cha kiwango cha Standard Gauge kutoka Dar mpaka Morogoro
Handaki hili lina urefu wa zaidi ya Kilomita moja na hapa ndio treni ya kisasa itapita kutokea upande wa pili
No comments