Header Ads

Header ADS

Pichani Wanandoa Wakamatwa Kwa Tuhuma za Kumuigizia Mwanamke Chupa ya Coca Cola Sehemu Nyeti

Pichani wanandoa hao wa nchini Nigeria kwa majina ya Osas Onyeokweni and Tomisin Onyeokwenu wamedakwa na police kwa kumfanyia unyama wa kumuingiza chupa sehemu za siri mwanadada mwenye miaka 20 ambaye ni ex wa huyo jamaa

Siku ya tukio jamaa huyo alimpigia simu ex wake akimuomba waonane kuna kitu serious wajadili ambapo ex huyo hakuwa na hiyana sababu walishaachana. Walipokutana jamaa alikuwa na huyo mke wake ambaye kimsingi yeye na huyo ex wa mumewe walikuwa mtu na shoga'ke kabla yeye kuolewa

Walimshawishi wasogee kwenye jengo ambalo halijakamilika na walipofika jamaa alimuangusha chini ex wake, mke huyo pichani akatoa mkasi kumchania nguo best yake huyo wa zamani, wakambana kisha akiwa uchi mke huyo akamsokomeza chupa sehemu za siri. kisha wakampiga picha akiwa uchi na kumtishia watazivujisha mitandaoni ikiwa ataripoti au kumwambia yeyote yule. hata hivyo ex huyo ameenda police kuripoti ukatili aliofanyiwa

No comments

Powered by Blogger.