Kesi ya kutumia laini ya simu ambayo haijasajiliwa kwa jina lake inayomkabili msanii wa vichekesho nchini, Idris Sultan na mwenzake Innocent Maiga imepigwa kalenda hadi Julai 9, 2020 baada ya upande wa mashitaka kudai haujakamilisha maelezo ya awali na hivyo kuomba kuomba kupangiwa tarehe nyingine.
No comments