WEMA Sepetu Aweka Wazi Bado Anampenda Diamond Platnumz...."Moyo Wangu Una Nafasi yako"
Wemasepetu Ameweka wazi kuwa Diamond anasehemu special sana katika moyo wake, Bado Nampenda Sana...
Wema Sepetu na Diamond walishakuwa na mahusiano ambayo yalifurahiwa na kila mtu ila wao wanyewe walikuja kushindwana na Diamond kuanza kutoka na Mastaa wengine akiwemo Zari na Hamisa Mobettp
HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Hii inamaana Gani wanazengo?? Wataalamu wa mambo wekeni comment zenu Hapa
Pichani Alichoandika Wema Sepetu
Baadhi ya Comments za Wadau :
That is true love ❤️,May God bless her.
Kasema yaliyo kwenye uvungu wa moyo wake nanaona kabisa penzi linaanza kufufuka japo hatujui bwana otimbi comment hii anaichukuliaje
Bado anampnda,,,ila wanawak cjui wanaakil gan,,huyu jamaa atawatesa San lkn bad ving'ang'aniz khaaaaaa
No comments