MASKINI Gigy Money Alia Kwa Uchungu Siku ya Wanawake Dunia Akiwa Jukwaani
Msanii wa muziki, Gigy Money Jumapili hii March 8, 2020 alilia kwa uchungu mbele ya mamia ya akina katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na Wasafi Media.
HIZI HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL BLOG <DOWNLOAD HAPA>
“Wengi walinisema, sijui ni mtu wa vituko, sijui najidhalilisha bila kujua nyuma yangu nimepitia vitu gani lakini bado nimesimama na ninatengeneza Pesa” alisema Gigy katika shughuli hiyo ambayo iliambatana na utoaji wa tuzo kwa akina mama waliofanya vizuri.
No comments