Chadema "Sisi sio Wabaguzi ndio Maana Tulitaka Kumlipia Mashinji"
Chama cha Demokrasia na Maendeleoa (Chadema), kimesema wao sio wabaguzi makosa aliyoyafanya Vicent Mashinji alikuwa Chadema ndio maana waliamua kumlipia katika faini ambayo wametakiwa kulipa Sh milioni 350.
Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema amesema CCM imejitokeza kumlipia, hivyo kiwango kimepungia na endapo kitazidi kuna jambo ambalo watafanya.
“Sisi si wabaguzi makosa aliyoyafanya Vicent Mashinji alikuwa Chadema ndio maana tuliamua tumlipie ilikuwa ni sh milioni 350 ila CCM wamejitokeza kumlipia hivyo kiwango kimepungua na kikizidi kuna jambo tunaweza kufanya,” amesema Mrema
No comments