Gavana Benki Kuu Tanzania Amjibu Job Ndugai "Hatukopi ili Tule"
"Ukitumia pesa za ndani peke yake utapandisha kodi, utawafanya wananchi wachangie kwa njia nyingine ambayo ni gharama na itachukua muda mrefu, badala ya kutengeneza mradi kwa miaka 3/4 utautekeleza kwa miaka 20 kwa sababu unategemea uchukue pesa za ndani"
"Unapokopa mkopo hukopi kwa ajili ya kula unakopa kwa ajili ya kufanya project ambazo zitaendelea kuzalisha na kwasababu unaendelea kuzalisha uhimilivu wako wa deni unaendelea kuwa mzuri sio kwamba deni linapanda"
"Katika kamati mnaangalia madeni yenu yasiuze nchi ndio maana nchi haiwezi ikaweka rehani watu au rasilimali zake na itahakikisha inazitumia ili kuhakikisha Serikali inaendelea kupata kipato" ———Gavana Benki Kuu Tanzania, Profesa Florens Luoga kwenye
No comments