Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo ametoa tamko kuhusiana na nchi kukopa, Diallo amesema huyo aliyesema Tanzania itapigwa mnada hakutumia lugha ya kiuongozi bali ametumia lugha ya kihuni na kwa sababu CCM ni chama kikubwa basi atanyooshwa ili arudi kwenye mstari.
No comments