Header Ads

Header ADS

Mpya Kabisa..Jackline Cliff Amaliza Kifungo China, Hiii Hapa Picha yake Mpya Akiwa Uraiani


Picha MPYA ya Mwanamitindo na Ex wa Mwimbaji Jux, Jackline Cliff akiwa uraiani baada ya kumaliza kifungo chake huko Macao China….

Jitiada za kumtafuta zinaendelea Japo ushirikiano umekua mgumu Kwa jamaa zake wa karibu kutoa mawasilino yake ili Tujue chochote kitu #vidovidox


No comments

Powered by Blogger.