Header Ads

Header ADS

Lukuvi "Marufuku Madalali Kuchukua Kodi ya Mwezi Mmoja Kutoka Kwa Wapangaji"


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, amewapiga marufuku madalali wa nyumba kuchukua kodi ya mwezi mmoja kwa wapangaji, kama malipo ya kuwatafutia makazi. Amesema madalali walipwe na wenye nyumba.




No comments

Powered by Blogger.