Yanga Yasifiwa Kusajili Wachezaji Wazuri Wenye Viwango...Kambi yao Pia Nzuri
”Yanga wamesajili wachezaji wazuri na kuwapata wachezaji wakubwa lazima utumie hela nyingi sana, wana camp nzuri tena ya kifahari kule Morocco, camp yao ni yakifahari wana kilakitu Morocco. Yanga wamefanya vizuri kwenye usajili lakini pia kwenye Camp.” – Mchambuzi wa soka Abbas Pira akimwagia sifa lukuki kikosi cha Wananchi Yanga msimu huu, awatabiri makubwa Ligi Kuu na Ligi ya Mabingwa Afrika.
No comments