BAADA ya kuzagaa taarifa za kiungo mkabaji wa Yanga, Mkongomani, Mukoko Tonombe hayupo na kikosi hicho kambini nchini Morocco, jana Agosti 19, 2020 kupitia ukurasa wa Insta timu ya Yanga waliweka picha zikumuonyesha akiwa mazoezini.
No comments