Kumekucha..Wakurugenzi Watakao Shindwa Kwenda na Kasi ya Serikali Kukuona cha Moto
Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema watapendekeza kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Wakurugenzi ambao hawawezi kwenda na kasi ya Serikali yake
Asema watashauri Wakurugenzi watakaoshindwa kujenga Madarasa 500 ndani ya wiki mbili na Vituo vya #Afya zaidi ya 100 ndani ya mwezi mmoja wakae pembeni
Ameongeza kuwa, kazi yao sio kukaa ofisini bali kushirikiana na wananchi kuleta Maendeleo
No comments