Header Ads

Header ADS

Manara Afunguka Baada Ya Chama Kuondoka Simba





BAADA ya Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga kuthibitisha timu hiyo kumuuza mchezaji wake, Cloutus Chama kwa miamba ya soka ya Morocco, Berkane RBS.

Aliyekuwa msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara amesema haya

“Niliiona miguu yako siku ya kwanza nikapagawa na ufundi wako..
Nakumbuka tukiwa Kitwe Zambia,Picha hiyo ya mbele ikatawala Katika mitandao na Magazeti ya kwenu.

Nakumbuka pia wakati tunarudi ukaniambia tutafuzu kwenye mechi ya marudiano, ahhhhh Mwamba ukafunga goli maridadi mno dhidi ya Nkana.

Real friend na Jirani yangu nikutakie kheri nyingi katika maisha mapya Morocco na naamini utafanikiwa 💪🏿

Nani aliniamini nilipokuita Mwamba wa Lusaka August 2018?
Hakika Tanzania ilishuhudia talent murua kwa miaka mitatu na itoshe kusema nitakumiss sana my heroe !!”- amesema aliyekuwa msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara.


No comments

Powered by Blogger.