Makampuni 10 yanayoongoza kwa mitaji Afrika Mashariki!
1. Safaricom $13.3bn (Kenya)
2. TBL $1.4bn (Tanzania)
3. Equity $1.3bn (Kenya)
4. KCB $1.2bn (Kenya)
5. EABL $1.1bn (Kenya)
6. Vodacom $744m (Tanzania)
7. TCC $733m (Tanzania)
8. Co-op Bank $708m (Kenya)
9. NMB $505m (Tanzania)
10. Stanchart $490m (Kenya)
Note!
⏩Makampuni yote 10 yapo Tanzania na Kenya. Hakuna kampuni kutoka Uganda, Rwanda, Burundi wala Sudan Kusini.
⏩Makampuni mawili ya Tanzania yenye mitaji mikubwa ni kampuni la Pombe (TBL) na kampuni la Sigara (TCC). Una maoni gani?
⏩Safaricom ina mtaji mkubwa kuliko jumla ya mitaji ya makampuni yote tisa yanayofuata. Yaani ukijumlisha mitaji ya makampuni hayo tisa bado hupati mtaji wa kampuni ya Safaricom.
Wapi Azam na Mo Enterprises?
Je,Sekta gani Tanzania ambayo ingeweza kufanya vizuri zaidi ukiacha pombe na sigara...
Wataalamu wa masuala ya kifedha na wachumi ni wapi tumekosea kama nchi?
*Source* : Africa Business Heroes.Published financials
No comments