Luis Miquisson Aibukia Yangu, Kuwafunga Goli Simba Ngao ya Jamiii
Ndotoni nilipata kusafiri mpaka Cairo, Misri kushuhudia utambulisho wa Luis Miquisson na Percy Tau kwenye klabu ya Al Ahly
Baada ya utambulisho niliwaona Senzo ambaye alihudhuria kama mualikwa akiwa anazungumza na Pitso Mosimane
Pitso anamwambia Senzo kuwa nafasi za Wachezaji wa kigeni zimejaa hivyo mchukue Miquisson nenda nae Yanga kwa mkopo
Senzo anakubali na kuondoka na Miquisson mpaka Jangwani kisha anatambulishwa klabuni
Miquisson atafunga bao kwenye ngao ya jamii dhidi ya Simba, Mashabiki wa Simba wakaanza kumkimbiza.
Ghafla ndoto yangu inaishia hapo😀
No comments