Billnass Atoa Povu "Msimuhusishe Mwanangu na Mambo Yangu Na Nandy"
Mwanamziki Mahili Hapa Tanzania (@billnass ) Amefunguka kuwa Hapendi Mwanae Azungumziwe kwenye Tofauti yake na Mpenzi wake Wa siku Nyingi (@officialnandy ).
"Sipendi Kabisa Mtoto Mdogo Ambaye Hajui Chochote Kuingizwa kwenye Mambo Yangu Na Huyo Mdada Mnaesema Tumeachana, Naombeni Muachane Mwanangu Jamani"-Amefunguka (@billnass )
No comments