Maestro: Ukimya wa Babra ndio uliomuondoa Manara
Haji Manara ameifanyia Simba mambo makubwa sana lakini kwa hili alilofanya ilitakiwa mmoja aondoke, je kwa muliozisikia sauti ungemuadhibu nani kama wewe ungekuwa msuluhishaji Haji Manara au @bvrbvra ambaye hakuongea chochote?
Kwa haya maamuzi nafikiri Simba wameonyesha ukomavu kwenye uongozi, simshauri Haji Manara arudi Simba kinachotakiwa afanye mambo yake.
No comments