Huyu Mwanamke Aliyeitwa Ngamia Kutokana na Ugonjwa Wake wa Miguu
Ella Harper alizaliwa Januari 5, 1870 akiwa na tatizo la mifupa ambalo lilisababisha magoti yake kujipinda kwa nyuma, hali iliyomlazimisha kutembea kama mnyama
Ugonjwa wa Mifupa aliokuwa nao ulikuwa unafahamika kama Congenital genu recurvatum, na hali hiyo ilipelekea Ella kuitwa ‘The Camel Girl’ au Msichana Ngamia
Mwaka 1886 alijiunga na kikundi cha maonesho mbali na ulemavu wake, na alikuwa akijipatia $200 kwa mwezi kama mshahara, hali iliyoleta nuru katika maisha yake. Alifariki dunia Desemba 19 mwaka 1921
No comments