Wema Sepetu Amuumbua Mpenzi Wake Hadharani
Kuelekea siku ya wapendanao "The Tanzanian sweetheart" Wema Sepetu ameshea stori yake kuhusu mpenzi wake wa zamani ambaye waliachana kwa sababu mwanaume huyo hakuwa na nguvu za kiume.
Staa huyo wa filamu ameshea hilo kupitia Insta Live, baada ya mashabiki wengi kutamani kujua mahusiano yake ya sasa ambapo amefunguka kuwa
"Nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye kwenye interview zangu nilikuwa namtaja sana, moja kati ya vitu ambavyo tulifanya tukaachana ni yeye kukosa nguvu za kiume, ilikuwa mbaya sana kwangu kwa sababu kila mtu anamatamanio yake na ukiwa kwenye mapenzi kitachofanya mapenzi yenu yanoge ni tendo la ndoa" amesema Wema Sepetu
No comments