Tanzia: Aliyewahi Kuwa Mbunge wa Tanga na Waziri Bakari Mwapachu Afariki Dunia
Aliyewahi kuwa mbunge wa Tanga na Waziri wa Sheria na Katiba Bakari Harith Mwapachu, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Februari 12, 2021, katika hospitali ya Taifa Muhimbili, alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mwapachu alikuwa mbunge wa Tanga kuanzia 2000 hadi 2010 na amewahi kushika nafasi mbalimbali Serikalini kwa nyakati tofauti.
No comments