Header Ads

Header ADS

Jinsi Biashara Yangu ilivyonawiri Baada ya Kukutana na Jamaa Huyu


Kwa majini naitwa Steve. Baada ya miaka mingi za kuweka pesa zangu kwenye akiba, niliamua  kuingia katika biashara ili kuweza kupata kipato cha kila siku. Ilikua azimio langu siku moja  nikuje kuiwacha kazi ya kuajiriwa na nijiingize katika pilka pilka za kibiashara. 

Hivyo niliamua kulifungua duka la kuuza vipodozi na kuwezesha wanawake wasioweza kujipodoa kupata usaidizi mahala hapo kwa kulipia fedha kiasi Fulani. Niliakikisha duka hilo  lilikua na vipodozi vya kutosha kuweza kuafikia mahitaji ya wateja wangu ambao wengi wao  walikua ni wanawake. Inavyojulikana wanawake hutumia asilimia kubwa ya hela zao kwa  upodozi na ulimbwende. Kulikua na biashara sawia pahala hapo lakini nilikua na imani kuwa  biashara hiyo ingenawiri kwa haraka. Kile nilichotilia maanani katika biashara hiyo ni njia ya  kuweza kuvutia na kuwamiliki wateja wangu. Chuoni nilikua nimesomea mambo yanayohusiana  na biashara na kwa hivyo nilikua na akili za kutosha kuweza kuyafanya hayo yote. 

Baada ya miezi mitatu katika biashara hiyo nilipigwa na butwaa kwa kuwa, mauzo hayakuwa  yanafanyika nilivyokuwa nimekadiria yangefanyika. Nia yangu katika biashara hiyo ilikuwa  niweze kuagiza bidhaa mpya kila baada ya mwezi moja. Hapa nilikua nimemaliza miezi mitatu  sasa na hakuna chochote kilikua kinafanyika. Hamu yangu kwa biashara hiyo ilishuka kwa  kiwango kikubwa. Baaada ya miezi nane, nilianza kukumbana na ukosefu wa hela kwa kuwa  hakuna mauzo yoyote niliokuwa nimeyafanya katika biashara hiy. Kwa muda huo wote ilinibidi  kutumia hela zangu mwenyewe kuweza kulipa kodi ya kijumba hicho nilichokuwa nimekodi  kwa minajili ya biashara hiyo. Maji yalizidi unga kwa kuwa azimio la kufanya biashara ni kupata  faida lakini hapa nilikuwa napata hasara kila uchao. Wenzangu waliokuwa na biashara sawia na  yangu walianza kunicheka na kusema kuwa sikua na akili yoyote ya kufanya biashara kwa kuwa  upande wao mambo yalikuwa yanawaendea vyema na mauzo yao yalikuwa yamenawiri lakini  kwa upande wangu mambo yalikuwa tofauti. Mwaka moja baadaye niliweza kumuarifu ndugu  yangu yakuwa nimeiwacha biashara hiyo na kurejelea kazi yangu ya kuajiriwa. 

Kaka yangu aliniarifu nisikate tamaa biashara hiyo ingenawiri. Aliweza kunipeleka kwa  Kiwanga doctors, madaktari wa kiasili walio na kipawa cha kusaidia biashara kunawiri. Nilieleza  daktari huyo kila kitu, na kuwa ningetaka biashara yangu inawiri. Daktari huyo aliweza kufanya  ganga ganga zake na kuniarifu yote yangekuwa sawa kwa muda mchache. Nilirejelea biashara  hiyo nikiwa mwenye matumaini machache mno. Siku tatu baada ya kukutana na “kiwanga 

doctors” biashara ilinawiri. Niliweza kumpokea mteja baada ya mteja, ikanibidi niongeze  vipodozi katika duka hilo kuweza kumuda nambari ya wateja. Ningependa kutoa shukrani za  dhati kwa kiwanga doctors kwa kuweza kusaidia biashara yangu kunawiri. Pia wanatibu  magonjwa kama kuvunjika kwa viungo mwilini, kifafa, kifua kikuu na mengine mengi. Kwa  upande mwingine wanatatua mizozo ya kijamii kama mizozo ya shamba, mapenzi na mengine  mengi. Watembelee leo uweze kupata suluhu kwa matatizo yanayokutatiza. Kwa mengi  tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com ama waweza kutuma barua pepe kwa  kiwangadoctors@gmail.com pia waweza kumpigia simu kwa nambari +254 769404965. Daktari  kiwanga anatibu magonjwa kama kisonono kisukari na mengine mengi. Pia huwa wanatatua  migogoro ya mapenzi, kurudisha mali iliyo ibiwa na mengine mengi.




No comments

Powered by Blogger.