Haji Manara Atoa Mpya 'Asilimia 90 ya Marafiki Zangu Wanahitaji Niwaletee Vumbi la Congo Nikirudi Tanzania'
Ameandika Manara katika Ukurasa wake wa Instagram:
"Asilimia tisini ya watu wenye namba yangu wameniagizia Vumbi la Congo,,eti wanadai lile linalouzwa Kinondoni ni feki!!!
Guys imenifikirisha kidogo kuona hadi wakina dada maarufu wamenijia inbox baada ya kujua mm nipo huku..Sio wasanii wala viongozi wa mpira,hadi baadhi ya wacheza filamu, kila mmoja anataka Vumbi....
Ahhh Wabongo ntabeba kilo ngapi sasa?"
No comments