Gigy Money Akili Yafunguka Baada ya Kufungiwa Kufanya Mziki 'Taratibu Naanza Kua Niliye Takiwa Kuwa Mda Mrefu'
GigyMoney Ameandika Katika Ukurasa Wake wa Instagram;-
"Taratibu naanza kua niliye takiwa kuwa mda mrefu
🤮sina marafiki wengi
😷sijibizani tena Na watu
🤗Nainjoy upweke wa hapa Na pale
Nalidhika Na vichaache nilivyo barikiwa
🤧sibembelezi ukaribu Na mtu
👯♀️nawachagua wanao nichagua
🤦🏻♀️🤦🏻♀️nikiona atuendani najitenga
💃🏻yani nainjoy hii pumzi fupi niliyobarikiwa"
No comments