KLABU ya soka ya Simba imefuzu raundi ya nne ya kombe la Shirikisho la Azam Sports baada ya kuicha timu ya Majimaji FC kutoka mjini Songea. Magoli ya Simba yamefungwa na Gadiel 3', Mugalu 16’, Ame 60’, Kagere 78’, Miquissone 90'.
No comments