Tafiti mbalimbali zimekuwa zikitoka kila siku, hivi karibuni umetoka utafiti mpya ukieleza kwamba kuna hatari kubwa kwa mtu akila chakula kigumu usiku kwanzia saa mbili usiku. Mtu anaweza kupata mshutuko wa moyo,shinikizo la damu ama strock.
No comments