Taharuki yaibuka!! Ferrari ya Ginimbi yataka kuwaka moto wakati wakuaga Mwili wake
Ni Novemba 13, 2020 ambapo wananchi waishio nchini Zimbabwe mjini Harare waliweza kuuwaga mwili wa mpendwa wao, sasa taharuki iliyotoka huko leo ni baada ya gari lake lingine aina ya Ferrari lililokuwa likiendeshwa na rafiki yake kutaka kuwaka moto barabarani.
Gari hilo lilikuwa kwenye msafara wa kuelekea mahali ambapo palikuwa pakifanyika shughuli za kuuwaga mwili wa Ginimbi huko Harare nchini Zimbabwe
Itazame hii video hapa ujionee kila kitu kuanzia watu walivyoaga mpaka gari hilo kutoka kuwaka moto
No comments