Maelfu ya wakazi wa Harare, Ijumaa hii wamejitokeza barabarani kuutazama msafara mkubwa uliokuwa umebeba mwili wa mfanyabiashara wa Zimbabwe Genius “Ginimbi” Kadungure aliyefariki kwa ajali ya gari Jumapili iliyopita.
Mazishi yake yanafanyika Jumamosi hii kwenye makazi yake ya Domboshava
No comments