Header Ads

Header ADS

Nabii Aingie Kwenye Kundi la Simba Akidhani Hatoliwa Kama Daniel, Alibaki Mifupa na Nguo

 


Mwaka 1991 Nabii Daniel Abodunrin Raia wa Nigeria aliwaeleza watu kuwa kama ilivyoandikwa kwenye Bibilia kuwa Daniel aliingia kwenye zizi la simba na hakuliwa kwakuwa MUNGU aliwafunga midomo Simba hao, jamaa naye akaingia katikati ya simba, dakika moja nyingi aliliwa.



No comments

Powered by Blogger.