Meneja wa Msanii Harmonize Ashikwa na Kigugumizi Jina la Mtoto wa Harmonize na Sarah
Meneja wa msanii @harmonize_tz aitwaye @mjerumani_255 amepata kigugumizi juu ya jina la mtoto wa msanii wake na mkewe @sarah__tz
Meneja amesema kuwa yeye hayupo kwenye sehemu ya kutaja jina hilo ila muhusika Harmonize ndio anatakiwa kuzungumiza.
“Wakati ukifika tutazungumzia hilo... halafu unajua muhusika kabisa wa ilo swala ni Harmonize nafikiri yeye ndio alijibie kwasababu ... kwa sasa sipo kwenye nafasi ya kulizungumzia sana” amesema meneja huyo.
No comments