Header Ads

Header ADS

Harmonize: Nenda Afrika Kusini ukisikia ngoma yoyote ya Tanzania inapigwa njoo ntakupa mil 5



Harmonize ameongeza kuwa “South Afrika ni masaa matatu tu kutoka Tanzania lakini niamini mimi nenda halafu nakupa mwezi mmoja uzunguke clubs zote, ukisikia muziki wa Tanzania unapigwa njoo ntakupa mil 5 konde gang HQ, hebu turudi shule kwanza naamini muda bado tunao”





No comments

Powered by Blogger.