Bondia Mwakinyo Amchapa Muargentina Vibaya Round ya Nne
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo ameshinda tena kwa Technical Knock Out(KO) dhidi ya bondia Muargentina Jose Carlos Paz na kuendelea kutetea Mkanda wake wa WBF na kumfany awe na jumla ya KO’s 12 katika mara 18 alizoshinda ndani ya mapambano 20 ambayo ameyafanya hadi sasa.
Bondia Muargentina alisalimu amri katika Round ya 4 katika Pambano la Round 12 la uzito wa Intercontinental Super Walter Weight
No comments