Ujumbe wa harmonize akiwatambulisha Killy na Cheed waliokimbia Kings music ya Alikiba
Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva ambao walikuwa chini ya lebo ya @officialalikiba @kingsmusicrecords ambao ni @officialcheed na @officialkilly_tz waliotambulishwa rasmi kwenye lebo ya @kondegang iliyopo chini ya @harmonize_tz.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Harmonize amepost ujumbe huu akiwatambulisha:-
“BROTHER’S FOR EVER ..!!!! WELCOME @officialkilly_tz & @officialcheed SILAHA YETU NI UPENDO PAMOJA NA KAZI MAANA HIZO NDIO HAJA ZA WANANCHI WANAOIFANYA LEO HII KONDE MUSIC WORLDWIDE @kondegang RECORD LABEL KUBWA…!!!! SO LET’S DO IT…!!!!!!#KONDEGANG4EVERYBODY 🌍🎼🎹🎆🎈🎇🎉🧨🧨🎊🎊🎈🎆🎇🎊🎉🎇🎆🎆🎈🎈 THE FATHER NIGHT 11/9/2020″
No comments