Header Ads

Header ADS

Kusah amkana Aunt Ezekiel " Hana mimba yangu"



 Baada ya hivi karibuni kuhusishwa kuwa katika Mahusiano ya kimapenzi na Aunty Ezekiel , Msanii wa BongoFleva Kusah amekanusha swala hilo huku akisema hajui limetokea wapi .
Akizungumza kwa Njia ya simu kwenye Kipindi cha The Switch cha wasafi fm , kusah amesema :-

“Kwanza kabisa maneno mi Nayasikia , Lakini mimi Aunty Ezekiel sio mpenzi wangu na hana ujauzito wangu na sijui hata ivyo vitu vinayokea wapi Labda kwa sababu ananisupport, Lakini hakuna kitu chochote kinachoendelea kati yetu”

Kuhusu Maneno ya Shamsa Ford Kusah amesema hajamuelewa , kwasababu hata kama kweli angekua na Mahusiano na Aunty Kusingekuwa na tatizo lolote kwasababu Aunty Hana ukubwa huo .

No comments

Powered by Blogger.