CHADEMA Yachagua Kumuunga Mkono Maalim seif Zanzibar
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema rasmi sasa wanakiunga mkono Chama cha ACT WAZALENDO kwa upande wa Zanzibar katika uchaguzi Mkuu 2020.
Hii inatokana na historia ya Zanzibar kuwa na wanachama wengi wa CCM na ACT Wazalendo.Tundu Lissu - Mgombea Urais Chadema
"Tunaiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na ile ya Zanzibar (ZEC) kuhakikisha wanaandaa fomu za matokeo ya uchaguzi kwenye vituo ili kila wakala wa chama apate nakala.
Amesema suala hilo litapunguza mgogoro kati ya Tume ya Uchaguzi, Vyama vya siasa na mawakala".
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATO
No comments