Leo September 11, 2020 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamaata Ofisa wake wa uchunguzi mwandamizi, Nina Sipilon Saibul kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya Sh.4.9 Milioni.
No comments