Baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumpitisha kuwa Mgombea Ubunge, msanii Hamisi Mwijuma maarufu kama @Mwanafa jana amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Muheza mkoani Tanga huku akisindikizwa na mamia ya wakazi wa mji huo.
No comments