Mrembo Jihan Afunguka Kumrithi TANASHA na Kuolewa na Diamond, Aongea Ukweli Wote, ESMA, Mama Watajwa
Exclusive Interview na Mrembo Jihad Dimack, Miss Universe Tanzania 2016/17 kuhusu mambo mengi kuanzia fashion, maisha, familia na mengine.
Kwa mara ya kwanza pia anafunguka kuhusu tetesi za kuwa na uhusiano na Diamond Platnumz, Esma na Mama Dangote kumkubali na kama ndiye msichana ambaye Diamond amepanga kumuoa mwaka huu
VIDEO:
No comments